Watu 48 wamefariki kwenye mafuriko Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    5,354 views

    Watu 48 wamefariki huku wengine wapatao 50 wakiendelea kutafutwa baada ya maporomoko yaliyosababishwa na mafuriko katika eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru. Mamia ya familia zimeachwa bila makao baada ya mafuriko kusomba vijiji vinne vya eneo hilo.