Watu 49 wamefariki kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi katika eneo la Katesh, Tanzania

  • | Citizen TV
    93 views

    Takribani watu 49 wamefariki huku wengine zaidi ya 90 wakijeruhiwa kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi katika eneo la Katesh wilayani Hanang Tanzania.