Skip to main content
Skip to main content

Watu 518 walifariki katika ghasia za uchaguzi Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    94,762 views
    Duration: 28:10
    Takriban watu 518 waliuawa wakati wa machafuko ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, haya ni kwa mujibu wa ripoti ya tume ya uchunguzi ya serikali ambayo imetolewa leo. Vifo 21 vilikuwa vya watoto, huku 16 vikiwa vya askari na maafisa wa usalama. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Othman Chande, anasema idadi ya waliofariki inaweza kuwa kubwa kufuatia kuzikwa kwa baadhi ya wahanga bila taarifa kwa mamlaka. Tume imehitimisha kuwa maandamano yaliyofanyika hayakuwa ya amani bali ghasia kinyume cha sheria. #Tanzania #Uchaguzi #SamiaSuluhuHassan #Chadema #BBCSwahiliLeo #BBCSWAHILIDIRAYADUNIATV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw