Watu 6 wa familia moja waaga dunia kutokana na maporomoko ya ardhi Murang'a

  • | KBC Video
    61 views

    Wakazi wa kijiji cha Kiganjo, wadi ya Gitugi, eneo bunge la Mathioya kaunti ya Murang’a wanaomboleza vifo vya jamaa sita wa familia moja waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi jana usiku. Juhudi za majirani za kuwaokoa waathiriwa hao waliokuwa katika nyumba nne tofauti zilizofunikwa na tope zilitatizwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive