Watu 6 Wafariki Kwenye Ajali ya Ndege ya AMREF Kiambu

  • | K24 Video
    396 views

    Watu 6 wamethibitishwa kufariki baada ya ndege ya shirika la AMREF kuanguka huko Mwihoko kaunti ya Kiambu huku shughuli ya uokoaji na kutoa miili kutoka eneo la mkasa ikiendelea.