Watu 6 wakamatwa kwa kusambaza karatasi bandia za mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    2,167 views

    Watu sita wanaosimamia akaunti kadhaa za mtandao wa Telegram wamekamatwa kwa kuhusika na udanganyifu kwenye siku ya kwanza ya mtihani wa kcse. Haya yamejiri huku serikali ikilazimika kutumia helikopta sita kusafirisha mitihani ya kcse katika maeneo ya Kaskazini Mashariki, Tana River na turkana ambako mafuriko yameathiri usafiri.