Watu 6 waliaga dunia, watoto 16 wakinusuriwa kwenye ajali ya mashua Baringo

  • | KBC Video
    88 views

    Baada ya ajali mbaya ya mashua katika ziwa Baringo iliyosababisha vifo vya watu sita, Ujasiri wa Wilson Lemkut umekuwa mwanga wa imani. Baba huyo wa watoto kumi na wawili ambaye pia ni mkazi wa kisiwa cha Kokwa, aliongoza shughuli za uokoaji kufuatia ajali hiyo ambapo watoto kumi na sita waliokolewa. Mwanahabari wetu anatupa tasnifu kamili ya Mzee Lemkut

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive