Watu 6 wameuawa na mamia wengine wakijeruhiwa kwenye siku ya maandamano ya vijana wa Gen Z

  • | Citizen TV
    20,391 views

    Watu 6 wameuawa na mamia wengine wakijeruhiwa kwenye siku ya maandamano ya vijana wa Gen Z kuadhimisha mwaka mmoja baada wenzao zaidi ya 60 kuuawa mwaka jana. Waliouawa walipigwa risasi na maafisa wa usalama kwenye sehemu kadhaa nchini. Hii ni kufuatia makabiliano kati ya maafisa wa usalama na vijana waliojitokeza kuandamana leo.