- 5,039 viewsDuration: 3:02Idadi ya watu waliofariki nchini kufuatia mafuriko ya wiki jana imefikia 62. Kwa mujibu wa wizara ya usalama, watu 33 wamefariki kaunti ya Nairobi. Haya yanajiri huku familia tisa zikiendelea kuwatafuta wapendwa wao waliosombwa na maji ya mafuriko.