Skip to main content
Skip to main content

Watu 63, 000 wahudumiwa kwa miezi mitatu Makueni

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 3:07
    Watu zaidi ya elfu 63 wa kaunti ya Makueni wamepata huduma mbalimbali za serikali kuu n ile ya kaunti kwa kipindi cha miezi mitatu tu kupitia Huduma Kenya. Aidha Huduma kenya imefichua inalenga kufungua vituo vya huduma katika kila eneno bunge kote nchini ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma za serikali kwa ukaribu zaidi