Watu-70 waripotiwa kufariki kufuatia mafuriko

  • | KBC Video
    74 views

    Watu-70 wamefariki kutokana na mafuriko huku mvua kubwa ikishuhudiwa katika sehemu kadhaa kote nchini. Kwa mujibu wa naibu rais Rigathi Gachagua, watu wanane wameripotiwa kutoweka huku wengine 22 wakiuguza majeraha. Zaidi ya watu elf-130 wameathiriwa na mafuriko kote nchini. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imesema mvua itaendelea kunyesha mwishoni mwa wiki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News