Watu 71 wamefariki kwenye mafuriko ya Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    1,618 views

    Shughuli za uopoaji zinaendelea katika eneo la Mai Mahiu huku wakazi wakifurika kwenye kituo cha kuata na kuwasilisha habari kuhusu wapendwa wao ambao bado hawajapatikana.