Skip to main content
Skip to main content

Watu 8 wakiwemo wanafamilia 3 wafariki kwenye ajali Mukhonje, Kakamega

  • | KBC Video
    433 views
    Duration: 2:05
    Ajali za barabarani zimeendelea kuongezeka katika msimu huu wa sikukuu licha ya hatua za kuziepusha zilizochukuliwa huku watu wanane zaidi wakiaga dunia jana usiku katika eneo la Mukhonje katika kaunti ya Kakamega. Waathiriwa watatu walikuwa jamaa wa familia moja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive