"Watu hudhani nimelewa" - Kuishi na ugonjwa wa ataxia?

  • | BBC Swahili
    540 views
    Tallulah Clark aligundua kuwa alikuwa tofauti na marafiki zake alipokuwa akikua. Akiwa na umri wa miaka 14, watu walikuwa wakimuuliza kama amelewa kwa sababu ya namna anavyotembea, mwendo usio wa kawaida. Hakuwa hivyo, lakini ilichukua miaka nane ili kugunduliwa kuwa na ugonjwa wa ataxia, hali ambayo ni nadra sana ya mfumo wa neva. Je ataxia ni nini na ni jinsi gani mtu anaweza kuishi nayo? #bbcswahili #afya #ataxia