Mariam Joseph Mwakabungu anasema haikumsumbua kujitolea muda na nguvu zake kukumbatia watoto njiti maarufu kama Kangaroo hususan waliotupwa ama kutelekezwa na mama zao katika hopitali ya Amana jijini Dar es salaam.
Mariam anayependa kufahamika kama Mama njiti amezungumza na @martha_saranga katika WARIDI wa BBC,kufahamu msukumo wa kukumbatia Watoto njiti aliupata wapi?
🎥 @bosha_nyanje
#bbcswahili #watotonjiti #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Jul 2025
- Former Law Society of Kenya (LSK) President Eric Theuri has criticized the government’s decision to charge arrested protesters with terrorism-related offenses, calling the move "ridiculous" and lacking any legal foundation.
21 Jul 2025
- A gang of over 10 people raided a coffee factory in Mwea East, Kirinyaga County tied and injured two night watchmen before escaping with 26 bags of the farm product valued at 1.8 million.
21 Jul 2025
- The arrest triggered widespread public attention, with authorities claiming to have recovered items that raised national security concerns.