Watu kadhaa wajeruhiwa katika mzozo kuhusu ardhi Narok

  • | NTV Video
    335 views

    Mgogoro wa ardhi katika eneo la biashara la Ngosuani, Narok Kusini, umesababisha makabiliano makali kati ya makundi mawili hasimu, hali iliyosababisha watu kadhaa kujeruhiwa vibaya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya