- 152 viewsBaada ya kusimama katika viwanja vya Times Square, New York, Marekani kwa zaidi ya darzeni za saa, maelfu ya walijitokeza kusherehekea katika mwaka mpya 2024 Jumapili (Disemba 31) usiku katika tafrija inayofanyika kila mwaka. Wengi walikuwa wamewasili mapema asubuhi kupata nafasi zilizokuwa zimetengwa na idara ya polisi ya New York, kabla ya maonyesho ya muziki yaliyofanywa na Megan Thee Stallion na LL Cool J kabla ya kufikia mwisho wa mwaka 2023 saa sita ya usiku. Pia shamrashamra za fataki za ajabu zilishamiri katika maeneo mbalimbali maarufu ya dunia kama vile Acropolis huko Athens, Ugiriki; Zilionekana katika jumba la vioo refu sana duniani, Burj Khalifa, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu; na kuambatana na nderemo ambazo zilitawala katika anga huko Nairobi, Kenya. - Reuters #mwakampya #sherehe #voa #voaswahili #athens #ugiriki #burjkhalifa #timessquare #marekani #newyork
Watu mbalimbali wafurika viwanja vya Times Square New York mkesha wa mwaka mpya
- 14 Aug 2025 - At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
- 14 Aug 2025 - The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
- 14 Aug 2025 - Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
- 14 Aug 2025 - South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
- 14 Aug 2025 - Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
- 14 Aug 2025 - "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
- 14 Aug 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
- 14 Aug 2025 - Housing to remain key at World Urban Forum
- 14 Aug 2025 - Bulk buyers: What the property market misses in turnaround plan
- 14 Aug 2025 - KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump