Watu mbalimbali wasema hakuna vile Raila angechaguliwa kama mwenyekiti wa AUC

  • | NTV Video
    6,499 views

    Watu tofauti, wakiwemo wanaharakati, viongozi na wachanganuzi wa siasa, wanasema hakuna vyovyote vile Raila Odinga angechaguliwa kama mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika AUC.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya