Watu millioni tano Sudan wakabiliwa na janga la njaa

  • | VOA Swahili
    34 views
    Watu milioni tano nchini Sudan wanakabiliwa na viwango vya kutisha vya njaa, huku mzozo ukidumaza usambazaji wa misaada na majiko yaliyoundwa na watu wa kujitolea kusaidia wanaoitaji chakula yakilazimika kufunga. Katika mji mkuu wa Sudan, ma elfu ya watu wanakabiliwa na changamoto ya kila siku kupata chakula huku majiko ya pamoja wanayotegemea yakiwa katika hatari ya kukosa misaada, na mawasiliano yakiwa yemekatwa katika maeneo kadhaa ya nchi wiki za hivi karibuni #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.