Watu saba wakamatwa jijini Nakuru kwa kuendeleza biashara ya kutengeneza pombe haramu

  • | Citizen TV
    258 views

    Watu saba wamekamatwa katika eneo la Nyamaroto, Bahati kaunti ya Nakuru kwa kuendeleza biashara ya kutengeneza pombe haramu