Watu saba wanaswa kwenye CCTV wakiiba mvinyo

  • | Citizen TV
    14,109 views

    Mfanyibiashara mmoja katika maduka ya Two Rivers kaunti ya Kiambu, ameitisha msaada wa wapelelezi wa DCI kuwakamata watu saba walionaswa kwenye camera za cctv wakiiba. Washukiwa walinaswa wakiiba mvinyo wa shilingi laki moja Jumapili jioni. Inasemekana kuwa saba hao ni miongoni mwa magenge yanayowahangaisha wafanyibiashara eneo hilo la Two Rivers.