Watu saba wazuiliwa na polisi eneo la kikuyu

  • | Citizen TV
    2,129 views

    Watu saba wamezuiliwa na polisi Kikuyu baada ya kukamatwa wakiendesha shughuli katika kiwanda haramu Cha kutengeneza pombe.