Skip to main content
Skip to main content

Watu sita wa familia moja waangamia kwenye ajali Webuye

  • | Citizen TV
    8,152 views
    Duration: 2:59
    Familia moja iliwapoteza watu sita kwenye ajali ya jana usiku, iliyotokea katika eneo la Malaha kwenye barabara ya Webuye - Kitale. Familia ya Ezekiel Sipala ilihusika kwenye ajali walipokuwa wameenda kushuhudia ajali nyingine ambapo pikipiki ziligongana barabarani