- 10,520 viewsDuration: 54sWatu sita wafariki kwa ajali ya ndege ambayo imetokea katika eneo bunge la Mosop. Watu wote sita waliokuwa katika ndege hiyo wamefariki japo hawajatambuliwa kufikia sasa kwa mujibu wa polisi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya