Watu tisa akiwemo afisa wa serikali wahusishwa na wizi Makueni

  • | Citizen TV
    1,054 views

    Watu tisa akiwemo afisa mmoja wa serikali waliotajwa na wananchi katika eneo la Mukaa kaunti ya makueni kama wahusika wa visa vya wizi wa mifugo kwenye eneo hilo, wametakiwa kuandikisha taarifa kwa maafisa wa DCI ili kuelezea wanachojua kuhusiana na wizi huo huku tayari afisa huyo wa serikali akiwa amesimamishwa kazi ili kutoa nafasi ya uchunguzi.