Watu wanane wauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge la vijana

  • | Citizen TV
    2,963 views

    Watu wanane wanauguza majeraha katika hospitali mbali mbali huko mikindani Mombasa baada ya kuvamiwa na genge la vijana 20 waliojihami kwa mapanga, visu na silaha zinginezo. Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa watano huku wakiwaonya vijana dhidi ya kujihusisha na magenge ya uhalifu.