Watu wanaoishi karibu na mto Nyamindi watoa wito kwa serikali kuweka vizuizi katika ukingo

  • | KBC Video
    87 views

    Watu wanaoishi karibu na mto Nyamindi huko Gichugu wametoa wito kwa serikali kuweka mitaro au vizuizi katika ukingo wa mito ili kuzuia mikasa zaidi. Zaidi ya watu 20 wamefariki baada ya kutumbukia mtoni humo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Miito hiyo inajiri baada ya kisa ya hivi punde ambapo mvulana wa kidato cha tatu aliyekuwa na umri wa miaka 17, alizama na mwili wake kuondolewa katika mto huo siku 22 baadaye.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive