Watu wanaoishi maeneo hatari watakiwa kuhama katika saa 48

  • | Citizen TV
    6,101 views

    Wakenya wanaoishi katika maeneo yaliyo kwenye hatari ya mafuriko nchini wametakiwa kuondoka katika muda wa chini ya saa 48. Mkutano wa baraza la mawaziri aidha umetangaza kuwa wakazi walio kwenye mitaa iiyo chini ya mita 30 kutoka mto Nairobi ikiwemo Mathare, pia waondoke la sivyo wafurushwe.