Watu wanaoishi na ulemavu kote nchini wameeleza changamoto mbali mbali wanazozipitia

  • | K24 Video
    Watu wanaoishi na ulemavu kote nchini wameeleza changamoto mbali mbali wanazozipitia hasa wanapotafuta huduma katika ofisi za umma. Jamii hiyo inaitaka serikali ilinde maslahi yao na kumaliza  unyanyapaa dhidi yao.