Watu wanne wa familia moja wafariki katika kisa cha moto eneo la Nyandarua magharibi

  • | KBC Video
    23 views

    Watu wanne wa familia moja walifariki katika kisa cha moto katika kijiji cha Boiman katika eneo la Nyandarua magharibi. Miongoni mwa wale waliofariki katika kisa hicho cha moto ni ajuza mmoja mwenye umri wa miaka 85, binti yake mwenye umri wa miaka 36 na wajukuu wake wawili wenye umri wa miaka kumi na tano. Kwingineko, familia moja katika eneo la Karaone huko Igembe kaskazini inadai kuwa maisha yao yamo hatarini kufuatia mauji ya jamaa yao na mtu ambaye wanadai kumjua. Familia hiyo inadai kuwa mshukiwa huyo hajakamatwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #arson

    arson