Watu wanne wa familia moja wateketea kwenye mkasa wa moto Kajiado

  • | Citizen TV
    569 views

    Watu wanne wa familia moja wameteketea hadi kufa kwenye mkasa wa moto usiku wa kuamkia leo katika eneo la entarara, loitoktok kaunti ya Kajiado. Kufikia sasa haijulikani moto huo ulianza vipi ila majirani wanasema kuwa mlango ulikuwa umefungwa kwa nje. Emmaculate mwasi anaeleza zaidi.