Watu wanne waaga dunia kufuatia mikasa ya moto

  • | KBC Video
    88 views

    Watu wanne wameripotiwa kuaga dunia kwenye matukio tofauti kufuatia mikasa ya moto katika kaunti za Nakuru na Kakamega. Kwenye tukio la kwanza lililojiri katika kijiji cha Nyakairu eneo la Naivasha watoto watatu wa walifariki usiku wa kuamkia leo baada ya moto kuzuka kwenye nyumba walimokuwa. Kwenye tukio la pili mvulana wa miaka miwili vile vile amefariki baada ya kuteketea nyumbani kwao katika eneo la Kambi Mwanza, eneo bunge la Malava. viini vya mioto hiyo bado havijabainika. Timothy Kipnusu anaarifu mengi zaidi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive