Watu wanne wafariki baada ya kunywa pombe haramu katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    699 views

    Watu wanne wamepoteza maisha yao huku wengine wanane wakikimbizwa katika hospitali mbalimbali kaunti ya Migori wakiwa hali mahututi baada ya kunywa pombe haramu katika kijiji cha Kubweye kaunti ya Migori.