Watu wanne wafariki katika maeneo mbali mbali ya nchi kufuatia mvua kubwa

  • | K24 Video
    103 views

    Watu wapatao wanne wamefariki katika maeneo mbali mbali ya nchi kufuatia mvua kubwa iliyosababisha mafuriko. Maelfu zaidi wanakadiria hasara baada ya makazi yao kusombwa na maji. Wanaoishi kando ya mito na njia za maji wameshauriwa wahame mara moja kuzuia maafa zaidi.