22 Aug 2025 1:16 pm | Citizen TV 1,207 views Duration: 2:21 Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo watu wanne waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto eneo la Kitutu Masaba, kaunti ya Nyamira.