Watu wasita wamefariki katika kijiji cha Kiganjo, Muranga

  • | Citizen TV
    6,285 views

    Mafuriko pia yameshuhudiwa sehemu nyingine nchini huku watu sita wakiaga dunia katika kijiji cha Kiganjo eneo bunge la Mathioya kaunti ya Muranga usiku wa kuamkia leo. Katika eneo la Sindo, kaunti ya Homabay idadi ya waliofariki imefikia watu wanne. Haya yakijiri huku barabara katika maeneo ya Kapenguria pia zikikatika kutokana na mafuriko.