Watu watano wafariki dunia baada ya kunywa pombe haramu katika jimbo la Embu.

  • | KTN News
    514 views

    Watu watano wamefariki dunia baada ya kunywa pombe haramu katika jimbo la Embu. Maafisa wa polisi katika kaunti ya Embu wamewatia mbaroni washukiwa wawili wanaodaiwa kutengeneza pombe hiyo katika eneo la ugweri.