- 11,215 viewsDuration: 2:18Watu watano wamefariki kwenye visa tofauti vilivyotokea kaunti ya Machakos na Nakuru. Kwenye kisa cha Machakos, mwanamume mmoja aliyemuua rafikiye wa kike kwa kumkata panga alipigwa na umati hadi kufa huku mjini Naivasha, familia ikiomboleza tukio ambapo baba mmoja aliwaua wanawe wawili na kisha kujitia kitanzi