Watu watano wamefariki maji katika ziwa Victoria

  • | Citizen TV
    541 views

    Watu watano wamekufa maji baada ya mashua yao kuzama katika ziwa victoria huko Nyatike katika Kaunti ya Migori. Kufikia sasa miili minne imeopolewa Huku shughuli za kutafuta mwili uliosalia zikiendelea.