Watu watano wazama maji kutokana na mvua kubwa kaskazini mashariki mwa nchi

  • | K24 Video
    77 views

    Huku mvua nyingi ikiendelea kushuhudiwa nchini, watu 5 wamezama maji kaskazini mashariki mwa nchi kutokana na mafuriko yanayoshuhudiwa.kufuatia hilo wakazi katika nyanda za chini wameshauriwa wahamie nyanda za juu