- 167 viewsDuration: 1:02Visa vya maradhi ya mpox vimeripotiwa katika kaunti ya Nyandarua. Watu watatu tayari wamethibitishwa kuambukizwa maradhi hayo hatari. Mgonjwa mmoja amelazwa katika hospitali ya Engineer level four huku hao wengine wawili wakilazwa katika hospitali ya Kaunti ya Nyahururu.