Watu watatu wafariki baada ya lori kuzama mtoni

  • | KBC Video
    249 views

    Watu watatu wamefariki, kumi na mmoja wameokolewa na hatima ya watu wengine sita haijulikani baada ya lori lililokuwa kusombwa na mafuriko kwenye barabara iliyoko karibu na mto Kwamuswii eneo la Sultan Hamud. Watu hao walikuwa miongoni mwa kundi la watu walioabiri lori hilo lililokuwa likisafirisha mchanga wakati mkasa huo ulipotokea. Hayo yalijiri huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha sehemu mbali mbali humu nchini wananchi wakiimizwa kuwa waangalifu wanapovuka barabara zilizofurika. Mwanahabari wetu Nancy Okware na taarifa zaidi kuhusu tukio hilo. Tungependa kuwatahadharisha kuhusu baadhi ya picha katika taarifa hii

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News