Watu watatu wafariki kwenye ajali barabarani katika barabara ya Narok kulekea Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    695 views

    Watu watatu wamefariki na wengine kdhaa kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani eneo la Stima katika barabara ya Narok kulekea Mai Mahiu.