Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wahofiwa kufariki kwenye ajali ya alfajiri barabara ya Mombasa-Nairobi

  • | Citizen TV
    7,673 views
    Duration: 1:10
    Watu watatu wanahofiwa kufariki katika Ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya Nairobi-Mombasa leo alfajiri baada ya malori mawili kugongana na kisha kushika moto. Ajali hiyo imesababisha msongamano mkubwa wa magari, polisi wakijaribu kukabiliana na hali hiyo. Kamanda wa kaunti ya Machakos Monica Kimani amethibitisha ajali hiyo na kusema kwamba zima moto kutoka Nairobi tayari wamefika kuuzima moto uliozuka.