Watu watatu wakamatwa kwa kutumia maji kinyume na sheria Trans Nzoia

  • | K24 Video
    117 views

    Watu watatu wakamatwa akiwemo mwakilishi wa wadi ya hospital kwenye oparesheni ya kampuni ya maji NZOWASCO ya kutafuta wanaotumia maji kunyume na sheria