6 May 2026 10:45 am | Citizen TV 7,814 views Duration: 1:35 Mamlaka ya mazingira (NEMA) imefunga kiwanda cha kutengeneza kemikali cha Shreeji Chemicals Ltd katika mtaa wa Mlolongo kufuatia operesheni iliyofanywa kwenye mikondo ya maji ya mto Nairobi.