Watu watatu wauawa katika matukio mawili tofauti ya Uvamizi kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    843 views

    Watu watatu wameuwawa katika matukio mawili tofauti ya Uvamizi kaunti ya Samburu. Watu wawili wameuwawa katika kijiji Cha Lolurubai Samburu Mashariki huku mtu mmoja akiuwawa Lolmisigiyoi Samburu magharibi.