watu watatu wauwawa kwenye mapigano yaliyozuka upya

  • | Citizen TV
    1,003 views

    Watu watatu wamethibitishwa kufariki katika mapigano mapya yaliyozuka transmara magharibi katika mpaka wa enoreteet na nkaararo. Nyumba tatu na mashamba ya miwa pia zimeteketezwa usiku wa kuamkia leo licha ya polisi kupiga doria.