Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu zaidi waugua kipindupindu Kilgoris

  • | Citizen TV
    383 views
    Duration: 3:11
    Watu watatu zaidi wanaendelea kutibiwa kutokana na ugonjwa wa kipindupindu eneo la Kilgoris, Transmara, kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, uliowaua watu watano kufikia sasa. Wakaazi wa baadhi ya maeneo yaliyoathirika kama vile kitongoji cha Majengo na Huruma sasa wakiitaka serikali kuingilia kati hali chafu ya mazingira, wanayosema inazidi kusambaza kipindupindu hiki kilichowaathiri zaidi ya watu 50 kufikia sasa.