Watu wawili miongoni wauawa kwa kupigwa risasi na majangili katika kijiji cha Kiriamet, Baringo

  • | KBC Video
    19 views

    Watu wawili miongoni mwao polisi wa akiba na mwanafunzi wa chuo kikuu waliuawa kwa kupigwa risasi na majangili katika kijiji cha Kiriamet huko Baringo kaskazini, kaunti ya Baringo. Kisa hicho kimeibua hofu katika eneo hilo ambalo limeshuhudia amani katika muda wa miezi sita iliyopita. Mwanafunzi huyo alikuwa wa chuo kikuu cha Kibabii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News